WritAfrica

NEVER GIVE UP

By Poet Denkuz

Everyone writes their own destiny.
I hope your pen doesn't run out of ink
While you write your way to paradise
Never ever give up..
This is something about life
For you, this is what I have
Najua sometimes wasee wanaeza look down on you
One thing unafaa kujua ni, usiwai give up
Pengine umefail today but tomorrow, tomorrow nabelieve utarise
Na early in the morning kijogoo jijini, lazima utawika
Si unajua tunaserve a living Jah,
Na another day means another chance, from the most High Jah
Na vile uko hai lazima one day pia ukue high
Watashangaa kukucheki kwa top chats,
Vile umebobea plus comments mob, vile umepea words their justice
Vile hawakukuaminia this time, watataka picha na wewe ndo wakupost
Inaeza kua unasail solo kwa hii ship, lakini usitense, wewe ndio GOAT hapa
Si unajua, ni one step at a time, ata clock still hu tik tok
So usikue msee wa ku tick talk sana,
Waache waguess wee ukimedi juu ya hii life
As simple as easy, you can always be the (D.E.F) one
Destined to Every Future
Success ikue ni culture

Cash iflow bila puncture
Blessings zikue za mapacha
Daily ukigrow wakiku picture
Never never give up

Denkuz
The DreamChaser

Tags:

No tags assigned to this post.

Related Posts

Top Categories

Trending News

Frozen Future
Kovu cha Kifo
Survival
Death Note
United or Justice
Kiongozi Dhalimu

Subscribe to Our Newsletter

Join our vibrant community of young poets, writers, and illustrators.