WritAfrica

June Submission Piece

Poet Denkuz

Hii ni ya mapoliticians
Na wewe speaker there's no order in this house
Ndo maana leo ni kuwasting juu nimekam na ii raw bee
Mnajiita wazito juu mumeshindwa kudeliver
How comes daily mnaongeza your sitting allowance and yet still mnataka standing ovation
That's not right even on the left side of this bill

How comes mnaongeza tax and yet still we have alot of young unemployed people looking for jobs
every day
Ati kazi tu ni kufinya laptops na misemo ya tumetenga mabilioni kwa ajili ya vijana, shame on you

For two years now ndo naelewa hii serikali ya mahustler, kumbe ni serikali ya matajiri wanataftiwa pesa
na ma hustler
We've seen alot of changes mweshimiwa and you've been taking notes sisi tukichukua macoins

Aah punda imechoka
Mwananchi amechoka we don't want that finance bill
Instead, create job opportunities first and get everyone on a pay roll before you tax them
Tumechoka maze

#RejectFinanceBill
Poet Denkuz

Tags:

No tags assigned to this post.

Related Posts

Top Categories

Trending News

Frozen Future
Kovu cha Kifo
Survival
Death Note
United or Justice
Kiongozi Dhalimu

Subscribe to Our Newsletter

Join our vibrant community of young poets, writers, and illustrators.