WritAfrica

Shujaa Wangu

 

By K Breeze

Si every 20th October tunasherehekea mashujaa kenya,

The blood shed that was shed on my mother land Kenya just for me to be free,

Nasema shukran sana my heroes tom mboya,Kenyatta oginga na many other on the list,

Siwezi sahau shujaa wangari mathai,

si alijitolea kutetea mazingira na kusema hatatulia mpaka dunia ijuwe umuhimu wa mazingira Bora,

si Bora mazingira.Rest in peace my hero.

nikisema am in love with wild animals it’s sounds crazy,

but pia wao nawacelebrate kama shujaa wangu,

Tazama jinsi wanavyoleta kipato ya kigeni kwa nchi yangu,

lakini wengine munawauwa in the name ati ni kazi yenu,

this goes to all the poachers,

Leave alone my heroes for the betterment of my country.

Happy mashujaa day.

Tags:

No tags assigned to this post.

Related Posts

Top Categories

Trending News

Frozen Future
Kovu cha Kifo
Survival
Death Note
United or Justice
Kiongozi Dhalimu

Subscribe to Our Newsletter

Join our vibrant community of young poets, writers, and illustrators.