WritAfrica

For the love of the Nation

By Palma Wa Vasho

 

For the Love of the Nation,

Sisi mayut ndo majority Gava isitu misUse, Viongozi ni wale wale,Tabia ni ile ile tu, Wanablow hot air mbele ya camera,

lkifika nyuma ya camera wanaitana my brother

Wakihave a dinner,

Maisha imekuwa ni kipimajoto,

Hope uliona chenye kilifanyika Maseno Campo, Mi Ufeel bad nikiona young life ikipotea.

Afande, mi-Udhani tunafaa kuishi na Undugu,

But design unatoa watu Tears na Tear Gas inajaza

Watu pressure na Gas,

Sisi tuuwane for their own benefit Wakitucheki tu, Ndo maana nasema ukabila hauwezi

Tags:

No tags assigned to this post.

Related Posts

Top Categories

Trending News

Frozen Future
Kovu cha Kifo
Survival
Death Note
United or Justice
Kiongozi Dhalimu

Subscribe to Our Newsletter

Join our vibrant community of young poets, writers, and illustrators.